Help Children
Love them
Saidia Watoto

Monday, March 5, 2012

Wanafunzi feza waonesha maajabu katika masuala ya teknolojia

 Mwanafunzi Salim Darwesh (kulia) na Salim Kaita (kushoto) wakionesha namna ambavyo wanaweza kusafirisha maji ya mtoni au ziwani na kuyajaza katika tangia nchi kavu, wamebuni wenyewe teknolojia hiyo na kupatiwa udhamini na walimu wao.
 
 Wanafunzi Salma Nasser Karama na Zeena Tunisaa Ally akionesha namna ambavyo wanaweza kutengeneza filamu za masuala ya elimu na kuionesha kwa wanafunzi wenzao, wanafunzi hao wametengeneza filamu iitwayo effects of Teknology na wanaitumia shuleni kujifunzia masuala ya amdhara ya teknolojia 

0 comments:

Post a Comment