Help Children
Love them
Saidia Watoto

Saturday, March 17, 2012

Mbunge wa Lindi mjini Barwany atosoa somo la kuwatambua Albino.

Mbunge wa Lindi Mjini Barwaby akiwa na wagonjwa wa Saratani katika hospitali ya Ocean Road jana ambapo licha ya kutoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa hao pia aliwataka wanajamii kuwa na msaada kwa walemavu wa ngozi i(Albino)

Pia alivitaka vyombo vya habari kuendeleza elimu ya namna ya kuwasaidia albino dhidi ya madhara mbalimbali katika jamii

0 comments:

Post a Comment