Help Children
Love them
Saidia Watoto

Thursday, March 15, 2012

Siku ya Pie iliyoadhimishwa Dar es Salaam

 Ofisa biashara wa kampuni ya Magazeti ya Serikali wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Habari Leo, HabariLeo Jumapili na Sunday News,Francis Kihinga akifafanua jambo kwa wanafunzi waliofika aktika sekondari ya Jangwani wakati wa maadhimisho hayo
Maandamano ya wanafunzi wakiingia katika eneo la maadhimisho ya siku ya Pie.


0 comments:

Post a Comment