Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, March 6, 2012

Madaktari msigome kesho tafadharini, tumieni elimu yenu kuwasaidia wagonjwa

Ikiwa kesho ni siku ya mwisho ambayo madaktari wamesema kuwa watagoma ikiwa ni shinikizo kwa Rais Kikwete kuwafukuza kazi Waziri na Naibu wake wa Afya.

Ni vema madaktari hao wakatambua kuwa wanatumia vibaya taaluma yao ambayo wamesemeshwa na walipa kodi ambao ndio hao watafariki iwapo madaktari hao watagoma.

Si sahihi kujiingiza katika masuala ya siasa kwa kutishia uhai wa watu wengine kwa kuwa madai yao yanashughulikiwa.

Chondechonde madaktari masuala yenu yanashugulikiwa kwa sasa kuweni wavumilivu

0 comments:

Post a Comment