Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, March 14, 2012

Tigo yatoa somo la elimu ya biashara kwa walemavu na kisha yawamwagia baiskeli 26

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mfuko wa Sekta Binafsi, Ester Mkwizu (kushoto) akimkabidhi  Akong'o Olwali msaada wa baiskeli zilizotolewa msaada na Kampuni ya simu ya Tigo, kwa watu wenye ulemavu wanachama wa Taasisi ya Kusimamia Huduma na Maendeleo kwa Watu Wenye Ulemavu (DEBD). Tigo imetoa baiskeli 26 zitakazowasaidia katika biashara ya kuuza vocha na Tigo Pesa.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mfuko wa Sekta Binafsi, Ester Mkwizu (kushoto) akimkabidhi Peter Gwitame msaada wa baiskeli zilizotolewa msaada na Kampuni ya simu ya Tigo, kwa watu wenye ulemavu wanachama wa Taasisi ya Kusimamia Huduma na Maendeleo kwa Watu Wenye Ulemavu (DEBD). Tigo imetoa baiskeli 26 zitakazowasaidia katika biashara ya kuuza vocha na Tigo Pesa. Kulia ni Meneja wa Promosheni na Matukio wa Tigo, Edward Shila
.

0 comments:

Post a Comment