Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, January 30, 2013

msikose kuna mengi ya kujifunza


Tuesday, January 29, 2013

Albino waliohitimu masomo yao wakabidhiwa vyeti


Ofisa Mtendaji Mkuu wa taasisi ya Under the Same Sun, Peter Ash (kulia) akimkabidhi cheti cha kumtambua mhitimu wa kidato cha nne aliyekuwa akifadhiliwa na mpango wa taasisi hiyo, Faudhia Kitenge wakati wa hafla ya kuwakabidhi vyeti vya kuwatambua iliyofanyika Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi.

Monday, January 28, 2013

Denti Lulu ashindwa timiza mashari ya dhamana

Hapa akisindikizwa kutoka mahakamani

Mpolee akisubiria Hakimu amalize kazi yake, anatuhumiwa kuhusika na kifo cha msanii Steven Kanumba na jana alaishindwa timiza mashart ya dhamana na kurudishwa lupango


Sunday, January 27, 2013

ICF na Kinu wanaendesha mjadala wa ICT kwa wanafunzi wa sekondari na vyuo



Amani wa Sekondari ya Tambaza ni mmoja wa waanzilishi wa ICF

 Jumanne nae alitoa somo kwa vijana ambapo aliwasihi kuepuka uoga katika kujaribu na kuwataka kufahamu kuwa hakuna mafanikio bila ya kuwa hali na uthubutu

Pia wadau mbalimbali wa ICT walikuwa wakifuatilia somo hilo

KINU's  officials


Kulikuwa na presentations mbalimbali kutoka kwa wadau wa ICT

Nacy Sumari akifuatilia presentation yake kabla ya kuifanyia kazi

Mijadala mbalimbali ikiendelea


Waafunzi wakifuatilia darasa

Pia kulikuwa na michezo mbalimbali ya chemsha bongo

Nancy Sumari alizungumzia kuhusiana na alivyojiingiza katika masuala ya ICT

Alielezea kuwa aliingia katika tasnia hiyo kutokana pia na msukumo wa rafikie Luka, huyo jamaa pembeni hapo


Lakini pia aliwasihi vijana hasa wadada kuamua kujiingiza katika fani ya masuala ya ICT kwa kuwa kuna masuala mengi ya kujifunza


Luka mmiliki wa Bongo5.com ambae pia ni mmoja kati ya waanzilishi wa KINU alipata nafasi ya kuzungumzia
utendaji wa Blog yake hiyo
Alisema kuwa ikiwa ni moja kati ya Blog za mwanzo ikiwa na miaka 6 katika gemu pia alitoa changamoto kwa vijana kujiamini na kutokata tamaa katika kujaribu masuala mbalimbali likiwamo suala hilo la ICT

Hawa ni wanafunzi wa sekondari za Tambaza na Kibasila ambapo nao ni wanaharakati wa masuala ya ICT shuleni kwao

Ikapigwa picha ya pamoja

Then Nancy akapiga picha na wasichana wadau wa ICT

Wadau wa KINU na ICF wakiwa katika picha ya pamoja.   Habari zaidi kesho


Meya wa Ilala Jery Silaa awataka wasanii kuielimisha jamii kuhusiana na amani

Silaa akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) shilingi milioni 3 kwa ajili ya kuanzisha ofisi za shirikisho hilo

Akiwasalimia wapenzi wa burudani waliojitokeza katika ukumbi wa Dar Live

Alipata muda wa kusalimiana na wasanii mbalimbali hapa akiwa na Jack wa Chuzi

Mhh Meya na Batuli.



Habari Kamili.

Meya wa Ilala Jerry Silaa amewataka wasanii wa filamu na maigizo kuhakikisha kuwa wanaielimisha jamii kuhusiana na masuala ya umuhimu wa amani.

Silaa alisema hayo jana wakati akizungumza kwenye hafla ya usiku wa wasanii wa filamu iliyofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala ambapo pia alitoa shilingi milioni 3 ikiwa ni mchango wake kwa wasanii hao ili wapate kukodisha ofisi yenye hadhi. zaidi ingia www.tzdadaz.blogspot.com

Friday, January 25, 2013

Zantel ilivyonogesha graduation ya kidato cha sita Tambaza Secondary

Mkurugenzi wa Wateja wakubwa wa Zantel Ahmed Seif katikati akifuatilia kwa umakini graduation hiyo

Wahitimu wenyewe ndio haooo

Pia walifanya maigizo kuwahamasisha wanafunzi wenzao wajitunze na janga la Ukimwi

Pia kulikuwa na mchango wa kusaidia masuala mbalimbali ya wanafunzi shuleni hapo

Seif akitoa risala yake

Wanafunzi waliwaimbia wenzao nyimbo mbalimbali

Pia kulikuwana zawadi kwa wanafunzi, wafanyakazi na walimu bora huyo ni mwalimu akichukua zawadi yake

Mfanyakazi bora akichukua zawadi yake

Muda wanafunzi kuchukua zawadi

Wazazi hawakusita kuwapongeza wanafunzi hao

Huyu dada anaitwa Sarafina Bunena yani alichukua zawadi kuwa mwanafunzi bora katika masomo ya Commerce, Accounts na Economic

Huyu kijana ni Juma Mwakota alipata zawadi kuwa mwanafunzi bora katika masuala mengi kiasi cha kumfanya Ahmedi Seif atake kupiga picha nae

Sarafina akiendelea kuchukua zawadi zake

Juma huyo

Huyu ni Tabu Ng'weleni alichukua zawadi kutokana na kuwa mwanafunzi bora katika masomo ya Kiswahili na History 

Huyu dada anaitwa Gati Marwa yeye alikuwa mwanafunzi bora wa somo la Advanced Mathematics

Na kusema kweli alistahili hizo zawadi huyu mrembo

Wednesday, January 23, 2013

Nilijifunza soko la muziki bongo na nikaingia rasmi katika muziki

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Vanesa Mdee akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na fani yake ya muziki

"Mimi nasema nyie ngojeni muone kwanza vitu vyangu jinsi nitakavyokuwa nakamua"

Aliwaimbia waandishi wimbo wake mpya uitwao Closer

Omary akawasilizisha waaandishi wimbo huo. 


Na Mwandishi wa Elimu Bora Tanzania

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Vanesa Mdee amesema kuwa ilimchuikua miaka kadhaa akiusoma muziki wa Tanzania kabla ya kuamua kuingia rasmki na kuanza kazi hiyo.

Vanesa alisema kuwa anaamini katika elimu kuwa bila ya kuusoma muziki msnaii hawezi kwenda mbali kwa kuwa muziki ni fani ambayo pia inahitaji umakini wa hali ya juu.

Vanesa kwa sasa anatamba na wimbo uitwao Closer aliuimba hivi karibuni alisema kuwa bado anaendelea na harakati zake za kujifunza na kuendeleza muziki nchini na kuahidi mambo makubwa zaidi mwaka huu