Help Children
Love them
Saidia Watoto

Thursday, January 3, 2013

Sajuki alitufundisha mengi--- Vicky Kamata.

Mbunge Vicky akiwa na wadau wa sanaa na mtoto wake pembeni

alishiriki kikao cha kamati ya utendaji ambapo alitoa mchango wake mkubwa tu


Akiwa na wadau wa sanaa

Akiwa na wasanii kadhaa

Monalisa akiwa na mtoto wa Vicky

Akisaini kitabu cha maombolezo


                              Habari Kamili
Mbunge wa viti maalum CCM Vicky Kamata amesema kuwa kuna mambo mengi ambayo wanajamii wanatakiwa kujifunza kutoka kwa msanii Juma Kilowoko, Sajuki, ambae alifariki juzi.

Vicky alisema kuwa msanii Sajuki ni mmoja kati ya wasanii ambao wameweza kuwa na upendo na moyo wa kusaidia jamii na hivyo aliwataka wasanii na wanajamii pia kuenzi hali hiyo.
 

0 comments:

Post a Comment