Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, January 23, 2013

Nilijifunza soko la muziki bongo na nikaingia rasmi katika muziki

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Vanesa Mdee akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na fani yake ya muziki

"Mimi nasema nyie ngojeni muone kwanza vitu vyangu jinsi nitakavyokuwa nakamua"

Aliwaimbia waandishi wimbo wake mpya uitwao Closer

Omary akawasilizisha waaandishi wimbo huo. 


Na Mwandishi wa Elimu Bora Tanzania

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Vanesa Mdee amesema kuwa ilimchuikua miaka kadhaa akiusoma muziki wa Tanzania kabla ya kuamua kuingia rasmki na kuanza kazi hiyo.

Vanesa alisema kuwa anaamini katika elimu kuwa bila ya kuusoma muziki msnaii hawezi kwenda mbali kwa kuwa muziki ni fani ambayo pia inahitaji umakini wa hali ya juu.

Vanesa kwa sasa anatamba na wimbo uitwao Closer aliuimba hivi karibuni alisema kuwa bado anaendelea na harakati zake za kujifunza na kuendeleza muziki nchini na kuahidi mambo makubwa zaidi mwaka huu

0 comments:

Post a Comment