| Haya muda wa mabango ukafika na ujumbe ndo huo unavyouona |
| Haa! viongozi wa Chama Cha Waigizaji wanaongoza nyimbo za hamasa, waliimba nyimbo za kumsifu Kikwete lakini walilalamikia sana hao viongozi wanaosema kuwa hawana imani nao |
| Haya huyu bango lake linasema hivi sasa mimki sijui kama ni kweli au hapana |
| Ze mkutano unaendelea kama hivi |







0 comments:
Post a Comment