Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, January 1, 2013

Picha ya elimu iliyonigusa mwaka 2012

Nasema kuwa hii ndo picha ya elimu iliyonigusa kwa kuwa ni picha inayohusu tukio la kuchangia madawati lililoandaliwa na Taasisi ya Hassan Majar Foundation kwa udhamini wa Tigo na kusaidia kupatikana kwa madawati mengi zaidi na kutumiwa na wanafunzi. Hatua kama hii ni nzuri katika kusaidia na kuendeleza elimu nchini na ni vema kwa mwaka 2013 matukio kama haya yakawa mengi zaidi

0 comments:

Post a Comment