Help Children
Love them
Saidia Watoto

Saturday, January 5, 2013

Njooni Mnazi Mmoja tuonje na tujifunze mengi kuhusu embe

Mgeni Rasmi akiingia katika viwanja vya Mnazi Mmoja kufungua maonesho ya Embe 



Mgeni rasmi akipatiwa maelezo kutoka kwa ofisa mradi wa Tanzania Agriculture Productive Program AliceMaro 

Alice akimuonesha mgeni rasmi banner ya maelezo ya shughuli wazifanyazo


Mgeni rasmi akizungumza na Fatma Riyami mmoja kati ya waoneshaji wa bidhaa za embe katika viwanja hivyo

Alifurahishwa na bidhaa za Bakhresa hapa akiwapongeza

Mwenyekiti wa chama cha wakulima wa maembe (Amagro )

Hakusita kuonja embe

Hawa ni moja kati ya wanajamii waliojitokeza kuonja aina tofautitofauti za embe

Mgeni rasmi akipokea zwadi kutoka kwa kampuni ya Bakhresa

Zoezo la kuonja embe lilikuwa lakuvutia sana

Pia kulikuwa na juice tamu ya embe ambayo ilikuwa tamu sana licha ya kuwa ilikuwa haina sukari

Wadau wa shamba la Kilodede lililopo Mkuranga eneo la Mwanambaya wakiwa pamoja na mmiliki wa shamba hilo Joseph Mallya

0 comments:

Post a Comment