Help Children
Love them
Saidia Watoto

Thursday, January 17, 2013

Wasanii wa Bomboso Dancing wafundishana kucheza muziki

Elimu ya kucheza muziki imeongeza ajira kwa vijana

Wasanii hawa wanafanyia mazoezi yao katika ukumbi wa vijana kinondoni

Huyu wa mbele ndio mwalimu wao anayewafundisha kucheza muziki

Wanakuwa wanajitaidia kucheza staili mbalimbali na huwa wanafundishana wenyewe kucheza, elimu kama hii pia inasaidia vijana kujiajili kwa kuwa wanakuwa na mbinu mbalimbali za kucheza muziki ambazo wanafundishana wenyewe

0 comments:

Post a Comment