Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, March 28, 2012

Millen Magese amaliza kuwafundisha wanamitindo wake na sasa tayari kusafiri nao.

 "Ili muweze kuwa wanamitindo bora ndani na nje ya nchi inatakiwa kwanza mjiamini, mnasikia? na pia kuzingatia yale niliyowafundisha"
 Mkiwa mbele ya watazamaji katika shoo mnapomaliza kutembea mnatakiwa kupozi hivi sawa?
Sikia mdogo wangu huwa hizi nyusi zinatengenezwa hivi sawa?

Na Mwandishi wa Elimu Bora Tanzania.
WABUNIFU watatu wa mavazi nchini watawakilisha Tanzania katika maonesho makubwa ya mavazi ya Afrika Kusini yatakayoshirikisha wabunifu kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Wabunifu hao wamechaguliwa kutoka katika mpango wa kuendeleza wanamitindo na wabunifu wa mavazi ulioanzishwa na mwanamitindo mtanzania anayefanya shughuli zake nchini Afrika Kusini Millen Magese kupitia kampuni yake ya Millen Magese Group company Limited.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Millen alisema kuwa mpango huo umeanza kuwa wa mafanikio kwa kuwa ameweza kuwapata wabunifu wazuri pamoja na wanamitindo wenye mvuto.
Aliwataja wabunifu hao kuwa ni Doreen Noni anayetumia Lebo ya eskado bird, Jamila Vera Swai na Evelyne Rugemalira ambao watapanda jukwaani April Mosi ambapo watawakilisha katika kipengele cha Tanzania International Fashion Exposé (TIFEX).
Alisema kuwa kabla ya kuwachagua alipata fursa ya kutembelea wabunifu hao na kujionea jinsi walivyokuwa wabunifu katika fani hiyo na kuhamasika kuwachukua na kushiriki katika maonyesho hayo maarufu ya mitindo katika bara la Afrika.
Alisema kuwa amevutiwa sana na jinsi walivyokuwa wabunifu na hivyo kuhamasika kuwapa nafasi hiyo ya kujitangaza kimataifa kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kupitia mradi huu anbao pia dhumuni lake kutangaza vivutio vya utalii wa Tanzania kimataifa.
Alifafanua kuwa mpango huu pia una lengo la kuitangaza Tanzania kupitia fani ya mitindo dunia nzima kama New York fashion week, London Fashion Week, Lagos Fashion week na Milan Fashion week.
Kwa upande wa wanamitindo waliochaguliwa ni  Anastazia Gura (21) huku wengine waeili wakiwa ni  mapacha,Victoria Casmir (20) na Victor Casmir ambao wao walichaguliwa kutoka katika zoezi la kuwachagua wanamitindo lililofanyika Jumapili iliyopita.
Katika kuonesha nia ya kweli ya kusaidia mitindo hapa nchini Millen pia ameingia mkataba wa kufanya kazi na mwanamitindo wa kiume, Benard Chizi ambaye atakuwa akisaidiana naye katika kazi zake.
Mwisho.



Miss. Salha Haji Omar, from Mpapa Secondary School, was awarded a university scholarship for winning the Jahazi Literary & Jazz Festival schools writing competition.

                                         So many students attended 
                                         After receiving her award
                                         Guest of Honor giving a speech 

Miss. Salha Haji Omar, from Mpapa Secondary School, was awarded a university scholarship for winning the Jahazi Literary & Jazz Festival schools writing competition.
The founder of Jahazi Literary & Jazz Festival, Mr. Abeid Amani Karume, and the Minister of Education, Mr. Ramadhan Abdalla Shaban, awarded the scholarship to Miss. Omar at a public ceremony at Mpapa Secondary School on Monday 26th of April.
Mr. Karume said: “Salha, when you graduate we expect you to become a productive member of our society, and where ever you may reach do not forget your past and your country. This scholarship will widen the goals and aspirations of its winners, and we wish them well in their endeavours.”
The festival's Writers for Peace' schools writing competition is designed to inspire school children and encourage them to nurture cultures that value education and peace. The second competition is due to be launched in May.
Miss Omar told us that: “I can’t believe that I have won a university scholarship. I have always dreamed of becoming a writer, and now my dream can become a realit

Tuesday, March 27, 2012

Mbunge wa Mtwara mjini akabidhi msaada kwa Chuo Cha Utumishi wa Umma Mtwara

Kaimu Mkuu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Mtwara Seme Peter akipokea msaada kutoka kwa Mbunge wa Mtwara Mjini Hasnein Murji

Chuo Cha Utumishi wa Umma Mtwara wakifuatilia kwa makini

Wanafunzi wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Mtwara wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mbunge wa Mtwara Mjini Hasnein Murji wakati alipoenda kukabidhi msaada wa shilingi milioni moja kwa Kaimu Mkuu wa Chuo hicho Seme Peter fedha hizo ni kwa ajili ya kununulia vifaa vya michezo chuoni hapo

Monday, March 26, 2012

Mahafali ya nne ya Chuo Cha Utumishi wa Umma Zanzibar (IPA)

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kher akihutubia katika sherehe za mahafali ya nne katika Chuo cha Utumishi wa Umma Zanzibar  (IPA) kulia ni Mkurugenzi wa chuo hicho Harusi Masheko na Mwenyekiti wa Bodi ya chuo Abdala Suleiman

Nada Ali Khamis (kushoto) mhitimu wa Diploma ya Rasilimali Watu katika chuo hicho akipokea zawadi maalum kutoka kwa Haji Omar Kher  

Sunday, March 25, 2012

Dk Nzige aendelea kutoa elimu ya afya makazini

 Dk Nzige akifundisha naman ya kulinda afya kwa wafanyakazi wa kampuni ya magazeti ya serikali ya Tanzania Standard Newspaper (TSN) ambapo alichukulia mfano wa gari katika kuonesha kuwa kama gari linafanyiwa service iweje mwanadamu anashindwa kwenda kuufanyia service mwili wake
Wafanyakazi wakifuatilia kwa makini somo kutoka kwa Dk Nzige

Friday, March 23, 2012

Birthday wishes sehemu za kazi zinaongeza mood ya kazi


 Birthday ya Charles Mtakateka wa kitengo cha Mikopo cha Kampuni ya Tanzania Standard Newspaper (TSN) akiwa na wafanyakazi wenzake wa kitengo hicho wakisherehekea siku ya kuzaliwa ya Mtekateka
Akilishwa keki na Sekela mfanyakazi mwenzake

Let us use Harusi Trade Fair to aqcuire knowledge concerning Harusi


The Third  edition of  the Tanzania first and premier wedding fair preparation are all under way slated to be held this year starting from  30March-1stApril at Diamond Jubilee Complex filled with the very best of wedding suppliers and stakeholders for all wedding requirements.


The founder and the organizer of this huge and remarkable annual event Mustafa Hassanali stated “This year’s event is going to be Bigger, Better and Bolder compared to last years and we look forward to this Wedding fair becoming the largest in the region in years to come”

True to the quote, This years wedding fair which has already attracted more than 40 confirmed Exhibitors most of whom participated in last years event, has seen this wedding fair grow from a two day event to a three day fully integrated multi dimensional exposition.

“Wedding is the union of families and communities, a once in a life time indulgence, so our plan is to give the astute bride and grooms all their requirements they need under one roof, and this is the perfect time for them to see and experience all the services and products for their big day” said marketing manager of Harusi Trade Faair Hamis K Omary.

Thursday, March 22, 2012

Winner of Jahazi Literary & Jazz Festival writing competition to be awarded scholarship

a  
Miss. Salha Haji Omar, from Mpapa Secondary School, will be awarded a university scholarship for winning the Jahazi Literary & Jazz Festival writing competition - Writers’ for Peace - on Monday 26th March 2012.
The Minister of Education, Mr. Ramadhan Abdalla Shaban, will award the scholarship to Miss. Omar, on behalf of a sponsor of the Jahazi Literary & Jazz Festival. Mr. Shaban said “Awarding a university scholarship is a first here in Zanzibar, so we and the community are very excited about this and what it means for Salha - and future winners of the Writers’ for Peace competition. Jahazi Literary & Jazz Festival is giving young people and a fantastic opportunity to aspire to become something great.”
The Writers’ for Peace schools competition is designed to inspire school children and encourage them to nurture cultures that value education and peace. Miss Omar told us that: “I can’t believe that I have won a university scholarship. I have always dreamed of becoming a writer, and now my dream can become a reality.”
The Ministry of Education recorded over 3000 competition entries – an all time high in the number of entries for writing competitions launched in Zanzibar. This is also the first time that a university scholarship has been awarded in Zanzibar.
We would like to invite you to attend the awards ceremony at Mpapa Secondary School at 10am on the 26 February 2012.  Transport to and from the venue will be provided. The pickup point is outside the Old Fort. Transport departs at 8:30am. A press lunch will be provided along with a per-deim of 20,000Tsh.
For further information and to confirm your attendance please contact Fuad Kabae - Festival Liaison – 0776 089 692 or at fuad@jahazifestival.com

SEMINA YA MAWAKALA WATAKAOANDAA MASHINDANO YA REDDS MISS TANZANIA

Semina ya Mawakala watakao andaa mashindano ya urembo ya Redds Miss Tanzania 2012, itafanyika tarehe 29 na 30 Machi 2012 katika Hotel ya Giraffe iliyopo eneo la Kunduchi jijini D’salaam.
Semina hii itawahusu Mawakala wa Mikoa, Kanda na Elimu ya Juu tu.
Baada ya Semina hii Mawakala wa Mikoa wataendesha semina kwa Mawakala  wa Wilaya katika Mikoa husika..
 
Hii itakuwa semina elekezi ambpo pamoja na mambo mengine Mawakala watakumbushwa Kanuni, Sheria na Taratibu zinazoendesha mashindano ya Miss Tanzania.
 
Semina pia itajadili changamoto mbalimbali  za shughuli za Miss Tanzania na pia kuweka mikakati ya kupata washiriki wenye sifa na kujifunza masuala ya Udhamini.
Orodha ya Mawakala watakao andaa Mashindano ya Urembo ya Redds Miss Tanznaia 2012 imeorodheshwa. Katika kiambatishi b na c
Mashindanbo ya Redds Miss Tanzania kwa mwaka huu yanadhaminiwa na kampuni ya TBL Kupitia kinywaji chake cha Redds Original na yanafahamika kwa jina la Redds Miss Tanzania.