Help Children
Love them
Saidia Watoto

Saturday, January 5, 2013

Chuo Kikuu Cha Kampala kimenuka tena

Wanafunzi wa shuo kikuu cha Kampala wakitoa maoni yao baada ya kulalamika kwa muda mrefu wakilalamikia uozo chuoni hapo, hadi sasa kuna wanafunzi wemefukuzwa kwa makosa kadhaa ambapo wanafunzi hao wamedai kuwa ni uonevu.

Mtandao huu utaendelea kuwajuza masuala mengine mengi kuhusiana na mzozo huu wa wanafunzi na chuo  

0 comments:

Post a Comment