Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, January 27, 2013

Meya wa Ilala Jery Silaa awataka wasanii kuielimisha jamii kuhusiana na amani

Silaa akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) shilingi milioni 3 kwa ajili ya kuanzisha ofisi za shirikisho hilo

Akiwasalimia wapenzi wa burudani waliojitokeza katika ukumbi wa Dar Live

Alipata muda wa kusalimiana na wasanii mbalimbali hapa akiwa na Jack wa Chuzi

Mhh Meya na Batuli.



Habari Kamili.

Meya wa Ilala Jerry Silaa amewataka wasanii wa filamu na maigizo kuhakikisha kuwa wanaielimisha jamii kuhusiana na masuala ya umuhimu wa amani.

Silaa alisema hayo jana wakati akizungumza kwenye hafla ya usiku wa wasanii wa filamu iliyofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala ambapo pia alitoa shilingi milioni 3 ikiwa ni mchango wake kwa wasanii hao ili wapate kukodisha ofisi yenye hadhi. zaidi ingia www.tzdadaz.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment