| Amani wa Sekondari ya Tambaza ni mmoja wa waanzilishi wa ICF |
| Jumanne nae alitoa somo kwa vijana ambapo aliwasihi kuepuka uoga katika kujaribu na kuwataka kufahamu kuwa hakuna mafanikio bila ya kuwa hali na uthubutu |
| Pia wadau mbalimbali wa ICT walikuwa wakifuatilia somo hilo |
| KINU's officials |
| Kulikuwa na presentations mbalimbali kutoka kwa wadau wa ICT |
| Nacy Sumari akifuatilia presentation yake kabla ya kuifanyia kazi |
| Mijadala mbalimbali ikiendelea |
| Waafunzi wakifuatilia darasa |
| Pia kulikuwa na michezo mbalimbali ya chemsha bongo |
| Nancy Sumari alizungumzia kuhusiana na alivyojiingiza katika masuala ya ICT |
| Alielezea kuwa aliingia katika tasnia hiyo kutokana pia na msukumo wa rafikie Luka, huyo jamaa pembeni hapo |
| Lakini pia aliwasihi vijana hasa wadada kuamua kujiingiza katika fani ya masuala ya ICT kwa kuwa kuna masuala mengi ya kujifunza |
| Luka mmiliki wa Bongo5.com ambae pia ni mmoja kati ya waanzilishi wa KINU alipata nafasi ya kuzungumzia |
| Hawa ni wanafunzi wa sekondari za Tambaza na Kibasila ambapo nao ni wanaharakati wa masuala ya ICT shuleni kwao |
| Ikapigwa picha ya pamoja |
| Then Nancy akapiga picha na wasichana wadau wa ICT |
| Wadau wa KINU na ICF wakiwa katika picha ya pamoja. | Habari zaidi kesho |







0 comments:
Post a Comment