| Mkurugenzi wa Wateja wakubwa wa Zantel Ahmed Seif katikati akifuatilia kwa umakini graduation hiyo |
| Wahitimu wenyewe ndio haooo |
| Pia walifanya maigizo kuwahamasisha wanafunzi wenzao wajitunze na janga la Ukimwi |
| Pia kulikuwa na mchango wa kusaidia masuala mbalimbali ya wanafunzi shuleni hapo |
| Seif akitoa risala yake |
| Wanafunzi waliwaimbia wenzao nyimbo mbalimbali |
| Pia kulikuwana zawadi kwa wanafunzi, wafanyakazi na walimu bora huyo ni mwalimu akichukua zawadi yake |
| Mfanyakazi bora akichukua zawadi yake |
| Muda wanafunzi kuchukua zawadi |
| Wazazi hawakusita kuwapongeza wanafunzi hao |
| Huyu dada anaitwa Sarafina Bunena yani alichukua zawadi kuwa mwanafunzi bora katika masomo ya Commerce, Accounts na Economic |
| Huyu kijana ni Juma Mwakota alipata zawadi kuwa mwanafunzi bora katika masuala mengi kiasi cha kumfanya Ahmedi Seif atake kupiga picha nae |
| Sarafina akiendelea kuchukua zawadi zake |
| Juma huyo |
| Huyu ni Tabu Ng'weleni alichukua zawadi kutokana na kuwa mwanafunzi bora katika masomo ya Kiswahili na History |
| Huyu dada anaitwa Gati Marwa yeye alikuwa mwanafunzi bora wa somo la Advanced Mathematics |
| Na kusema kweli alistahili hizo zawadi huyu mrembo |







0 comments:
Post a Comment