Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, January 9, 2013

Mkorea wa kichanga atengeneza documentary kuhusiana na maisha yake

Mwandaaji wa filamu iliyoelezea maisha yake kutoka Korea, Marekani hadi Tanzania Uchagani (kulia) akipewa maua wakati wa uzinduzi wa filamu hiyo 

Katikati anaeongeza ni mama mzazi wa binti huyo

wageni mbalimbali waliokuwapo katiak uzinduzi huo uliofanyika Sleep way




Umati Mkubwa wa watu ulihudhuria siku hiyo

Mwandaaji wa filamu hiyo akiwa anazungumza na wageni waliohudhuria filamu hiyo inayoelezea maisha yake tangia akiwa mdogo huyu dada baba yake ni mchaga huku mama yake akiwa mkorea na ameamua kuigiza filamu kuelezea maisha ya wazazi wake hao

Wageni wakikaribishwa

Add caption

0 comments:

Post a Comment