Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, January 29, 2013

Albino waliohitimu masomo yao wakabidhiwa vyeti


Ofisa Mtendaji Mkuu wa taasisi ya Under the Same Sun, Peter Ash (kulia) akimkabidhi cheti cha kumtambua mhitimu wa kidato cha nne aliyekuwa akifadhiliwa na mpango wa taasisi hiyo, Faudhia Kitenge wakati wa hafla ya kuwakabidhi vyeti vya kuwatambua iliyofanyika Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi.

0 comments:

Post a Comment