Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, March 21, 2012

MACMILLAN TRAINING COLLEGE -- MTC-TANZANIA, Chuo cha aina yake hapa nchini

Wanafunzi wakiwa katika darasa la kompyuta ambapo kila mmoja anatumia kompyuta yake, ni chuo kizuri kumpeleka mwanao au nduguyo kusoma.
Mwanafunzi akifuatilia masomo yake katika kompyuta
 Hata darasani pia kila mwanafunzi anatumia dawati lake hali inayowapa fursa kujisomea vema
Mwalimu akifundisha ubaoni kama inavyoonekana katika picha kuwa kuna  nafasi ya kutosha
Pia kuna chumba cha studio ambapo kuna vifaa vya kisasa 
Ukifika utapokelewa reception utahudumiwa na Madam Rose na kupatiwa kila taarifa uitakayo
Madam Lice nae akiwafundisha wanafunzi namna ya kutangaza studioni

13 comments:

  1. mme jitahidi sana kuboresha elimu hii ni fulsa kwetu sisi vijana ila ningependa kujua zaidi kuhusu masomo ya utangazaji kwa maana bei, na inachukua muda gani????????????????????

    ReplyDelete
  2. mme jitahidi sana kuboresha elimu hii ni fulsa kwetu sisi vijana ila ningependa kujua zaidi kuhusu masomo ya utangazaji kwa maana bei, na inachukua muda gani????????????????????

    ReplyDelete
  3. Bei ni laki nane na muda ni mwaka mmoja

    ReplyDelete
  4. Nimekipenda chuo chenu, kipo vizur, ila naomba kujua mnatoa mafunzo ya ualimu wa awali, na mnachukua watu wa sifa gan?

    ReplyDelete
  5. naomba kujua gharama zake kwa ujumla 0678933300 sms simu weekend asanteni denis beatus Iringa

    ReplyDelete
  6. naomba kujua gharama zake kwa ujumla 0678933300 sms simu weekend asanteni denis beatus Iringa

    ReplyDelete
  7. Naomba kufahamu kuhusu usajili wa chuo chenu. Nacte na veta

    ReplyDelete
  8. Naomba kujua ghalama zenu 0674361785,0784057207

    ReplyDelete
  9. Chuo kinapatikana wap?

    ReplyDelete
  10. Orodheshen coarse zitolewazo hapo chuoni na kwa mda gani na ghalama gani ili iwe rahisi mtu kujua na kuchukua uamuzi nasio mpaka afunge safari kuja

    ReplyDelete