Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, March 21, 2012

Hii nimeipenda sana, hiz ni hatua nzuri katika kuendeleza elimu hapa nchini


Mwalimu wa  Shule ya Awali ya Kivulini, Dar es Salaam, Catherine Francis, akifundisha baadhi ya watoto  wa shule hiyo kuhusu ramani ya Tanzania katika Soko la Kimataifa la Samaki la Magogoni Feri, Dar es Salaam jana. Shule hiyo iliyojengwa kwa turubai ina watoto 15 ambao wazazi wao wanafanya shughuli katika soko hilo na wamalizapo huwapitia na kurejea nao nyumbani. (Picha na Mohamed Mambo)

0 comments:

Post a Comment