Help Children
Love them
Saidia Watoto

Friday, March 2, 2012

TBL yaombwa kudhamini mafunzo ya waandishi wa habari za michezo

 Meneja wa Mawasiliano  wa TBL Edith Mushi akiwa na wahariri wa michezo ambao ni viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (Taswa).
Mwenyekiti wa Taswa ambae chama chake kimeomba TBL kudhamini mafunzo ya waandishi wa habari za michezo ili kuongeza weledi wa tasnia  hiyo muhimu.

Alisema kuwa TBL ni wadau wa michezo na wamekuwa wakisaidia masuala mbalimbali ya michezo na hivyo kuwataka pia kudhamini chama cha waandishi wa habari za michezo ili kiweze kuwafundisha waandishi wa habari masuala mbalimbali muhimu yahusuyo michezo

0 comments:

Post a Comment