Help Children
Love them
Saidia Watoto

Monday, March 26, 2012

Mahafali ya nne ya Chuo Cha Utumishi wa Umma Zanzibar (IPA)

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Haji Omar Kher akihutubia katika sherehe za mahafali ya nne katika Chuo cha Utumishi wa Umma Zanzibar  (IPA) kulia ni Mkurugenzi wa chuo hicho Harusi Masheko na Mwenyekiti wa Bodi ya chuo Abdala Suleiman

Nada Ali Khamis (kushoto) mhitimu wa Diploma ya Rasilimali Watu katika chuo hicho akipokea zawadi maalum kutoka kwa Haji Omar Kher  

0 comments:

Post a Comment