Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, March 11, 2012

Akina mama wakiingia kwa maandamano katika viwanja vilivyopo Sinza Lego

Akina mama wakiandamana wakitembea kuingia katika viwanja vya Lego katika maadhimisho ya siku ya wanawake ambapo walipewa elimu mbalimbali kuhusiana na haki zao kutoka kwa Alice Foundation.

Elimu hiyo ni muhimu kwa maendeleo ya wanawake wa mijini na vijijini pia

0 comments:

Post a Comment