Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, March 20, 2012

Halmasgauri ya Wilaya ya Namtumbo Ruvuma yaendesha mafunzo ya kujikinga na Ukimwi kwa wanafunzi shuleni


Wanafunzi wakiinamisha vichwa chini kwa inshara ya kuwakumbuka waliofariki kwa ugonjwa huo
Ofisa maendeleo ya jamii wa wilaya ya Namtumbo akitoa somo kwa wanafunzi kuhusiana na ugonjwa huo na namna ya kujiepusha nao.

Wilaya ya Namtumbo imeanzisha utaratibu wa kutoa elimu kwa wanafunzi shuleni ikiwa ni njia mojawpao ya kuwalinda dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi.

Ni vema Halmashauri nchini zikawa na utaratibu kama huu ni hartua nzuri ya kuwalinda wanafunzi

0 comments:

Post a Comment