Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, March 21, 2012

Super Model Millen Magese kuwafundisha na kuwaendeleza wanamitindo chipukizi

Mwanamitindo Mahiri wa kitanzania anayejishughulisha na shughuli za mitindo nchini Afrika Kusini, Millen Magese,  March 25 mwaka huu katika hoteli ya Serena ataendesha zoezi la kuwatafuta na kuwaendeleza wanamitindo chipukizi.

Wanamitindo wawili watakaopatikana siku hiyo watapewa mafunzo maalum ya wiki moja na kisha Apri Mosi wataenda Afrika Kusini kushiriki katika fashion week ya Afrika Kusini.

Wanamitindo wanaombwa kujitokeza kushiriki.

WWW.ELIMUBORATANZANIA.BLOGSPOT.COM INAPONGEZA JUHUDI KAMA HIZI ZA MILEN KATIKA KUSHIRIKIANA NA WENGINE KUENDELEZA FANI MBALIMBALI.

0 comments:

Post a Comment