Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, March 11, 2012

Mwenyekiti wa Alice Alioundation, Alice akitoa somo la kujitambua kwa wanawake wa kata ya ubungo muda mfupi baada ya kuwapokea akinamama waliokuwa wakiandamana kuadhimisha siku ya wanawake duniani aliwasihi wanawake kujitambua na kuwajibika ikiwa pamoja na kutambua majukumu yao katika jamii.

Pia aliwataka kujitetea haki zao ikiwa pamoja na kuwatetea wanawake wenzao walio katika hali ya kunyanyasika ili kuwapatia kuwawezesha kutumia fursa mbalimbali zilizopo

0 comments:

Post a Comment