Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, March 18, 2012

Pongezi kwa Aset kwa kuanzisha chuo cha Muziki


Wanafunzi wa Chuo Cha Muziki cha Twanga Pepeta wakifanya vitu vyao jukwaani katika jukwaa la Dar Live Mbagala, pongezi kwa bendi ya Twanga Pepeta kwa kuamua kuanzisha chuo cha muziki kwa ajili ya kuwanoa wanamuziki wa baadae.

Wanafunzi wanafundishwa na mwanamuziki gwiji hapa nchini  Komandoo Hamza Kalala ambae anawafundisha masuala mbalimbali yahusuyo muziki.

0 comments:

Post a Comment