Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, March 20, 2012

Mwanafunzi wa St Antony amepotea

Mwanafunzi wa kidato cha tano katika Sekondari ya St Antony Mbagala Franco Kisongo alimuaga mzazi wake kuwa anaenda Kariakoo nahajawaweza kupatikana mpaka sasa,.
Mtu atakaemuona awasiliane kwa namba hizi 0784 382035, 0717 371763, 0713 761006.
Mtandao huu unaomba Mungu awaangazie wale wanaomtafuta kuweza kumpata 
Asante

0 comments:

Post a Comment