Help Children
Love them
Saidia Watoto

Friday, March 2, 2012

Tigo kuchangisha fedha za kununulia madawati kwa njia ya tigo rusha fedha zitakazopelekwa kwa Taasisi ya Hassan Majar Trust Fund

 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa akisalimiana na baadhi ya wakurugenzi wa taasisi hiyo wakati akiingia.
 Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Zena Majaar Tenga akihamasisha zoezi hilo
 Mama madawati akitioa nasaha zake
 Waziri akisalimiana na wafanyakazi wa Taasisi hiyo
 Wafanyakazi wa Tigo wakijipanga kumsubilia Waziri kuzindua rasmi zoezi hilo
 Maandamano ya kuchangia yakianza ambapo walitembea kutoka Shekilango hadi Ubungo Mataa
Waziri akikata utepe muda mfupi kabla ya maandamano kuanza.



Kwa niaba ya mtadao huu wa www.elimuboratanzania.blogspot.com ninaipongeza Taasisi ya Hassan Majar kwa mchango ambao wanalenga kuutoa katika taasisi hiyo

0 comments:

Post a Comment