Help Children
Love them
Saidia Watoto

Monday, March 12, 2012

Elimu kwa wazazi yahitajika kuwalinda watoto

Watoto hawa walikutwa na mpiga picha wa elimubora wakicheza katika mbao hali ambayo inahatarisha usalama wao huku wazazi wakiwa hawawajibiki vya kutosha kuhakikisha usalama wa watoto hao.

Inahitajika elimu kwa wazazi katika kuhakikisha kuwa wanajua namna ya kuwalinda watoto wao ili kuwaepusha na hatari kama hizi

0 comments:

Post a Comment