Help Children
Love them
Saidia Watoto

Thursday, January 3, 2013

Taswira kwenye msiba wa Sajuki




Ofisa wa Basata Malimi Mashili (kulia) akimkabaidhi mzazi wa Sajuki, mzee Juma Kilowoko rambirambi za Basata kwa niaba ya katibu mkuu wa Basata, kushoto ni msanii Denis Sweya, pembeni mwa Mashiri ni ofisa wa Basata Pastory John pembeni yake ni mjomba wa Sajuki Docodemus Mzena

Mtoto wa Sajuki akiwa na Babu yake

Akiwa na ndugu yake

JB akimpatia pole mama wa Sajuki

Mkewe Sajuki Wastara

Mjadala wa mipango ya maziko ukiendelea

zaidi ingieni Tzdadaz.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment