Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, December 30, 2012

Ridhwani Kikwete atoa somo la maadili kwa Taswa

Katibu Mkuu wa Taswa Amir Mhando akiwatambulisha wageni katika mkutano mkuu wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo( Taswa) ulioendana sambamba na semina kwa waandishi wa habari

Waandishi wakijitambulisha mmoja mmoja


Ikafika muda wa kupiga picha na mgeni rasmi wa mkutano huo Ridhwan

Mwandishi Mkongwe Mzee Salim akitoa mada katika mkutano huo


Mwenyekiti wa Taswa Juma Pinto akitoa elimu yake

Watoa mada wakiwa wanafuatilai kwa makini kutoka kulia ni Mwina Kaduguda aliyewahi kuwa katibu wa Simba, katikati ni Willy Chiwango na kushoto ni mzee Salim mhariri wa kwanza wa michezo wa Daily news 

Mdau wa soka Ridhwan Kikwete akitoa mchango wake katiak kuiramisha masuala ya uandishi wa habari za michezo nchini ambapo alisisitiza suala la waandishi kuepuka kuchanganya upenzi wa timu katika kuripoti michezo

Habari Kamili kuhusiana na nin kilichojili na kuzungumzwa katika mkutano huu zitawajia kesho mchana kwanza leo onjeni picha za matukio tu. 



1 comments:

  1. Yep ridhwani umeongea suala la msingi kuhusiana na hawa watu ambao wanachanganya upenzi wa soka katika kuripoti habari nii mbaya sana

    ReplyDelete