Help Children
Love them
Saidia Watoto

Friday, December 7, 2012

Escado Bird ametufundisha mengi katika Swahili Fashion

Dorren Noni ni mbunifu wa mavazi anayetamba kwa sasa na lebo yake ya Escado na hivyo kuweza kuwakilisha vema katika tasnia ya ubunifu wa mavazi hapa nchini, hapa alikuwa akitoa ujumbe kupitia mavazi unaosisitiza kuhusu mabadiliko ya fikra

Mwanamitino uyu alitupia nguo zake ambapo anasisitiza kuwa kuna elimu inayotakiwa kupatikana kupitia nguo zake anazozibuni

Ujumbe naona kuwa watu wasiangali tu njeya kitu ila waingie pia ndani zaidi hapa akiwa anawasilisha hilo kupitia hiyo nguo ya nje kuwa ni inaonesha na ndani kukiwa ni nguo nyeusi ndio ugiza wenyewe wa kuzingatiwa

Amewatumia watu kama hawa ambao wana majina katika tasnia ya burudani hapa nchini kuhakikisha kuwa wanafikisha ujumbe unaosisitiza kuwa elimu yao sio tatizo kwa wao kujiingiza katika masual aya fasheni hiyo jnido Revolutiona anayoisema Doreen


Doreen ndo huyo wa kulia hapo

0 comments:

Post a Comment