| Shear wa pili kulia akisakata muziki na wadau wake kushoto ni Slyvia Lupembe Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) hapa ilikuwa katika Shear Party ya mwaka 2011 |
| Mgeni rasmi alikuwa akitoa neno |
| Shear huyu wa hapa mwanzoni ambae mwaka huu inaonekana kuwa hiyo function haikuwapo tena huku wadau wakiiulizia |
| Fedha wazipatazo kwa njia ya michango husaidia masuala mbalimbali likiwamo suala la elimu pia |







0 comments:
Post a Comment