Help Children
Love them
Saidia Watoto

Thursday, December 20, 2012

Adhabu hii ni nzuri kwa wamiliki wa Hoteli wasiozingatia masharti ya utunzaji wa mazingira?



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dk Terezya Huvisa (katikati) akitoa amri ya kuifunga hoteli ya Double Tree iliyopo Masaki kwa kosa la kutititisha majitaka baharini , Kushoto ni Karim Kanji Mkurugenzi wa Hoteli hiyo huku kulia kwake ni mmoja kati ya maofisa wa hoteli hiyo pia

Hoja:
Kuzifungia hoteli ambazo zinaendelea kuharibu mazingira je hii ni hatua nzuri au wangeendelea kupewa elimu kwanza?

0 comments:

Post a Comment