Help Children
Love them
Saidia Watoto

Thursday, December 20, 2012

Matukio ya elimu jana

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikabidhi msaada wa madawati kwa ajili ya kusaidia wanafunzi wa shule ya Mpanda, hii ni hatua nzuri katika kuinua mazingira ya wanafunzi kujifunzia na huongeza hamasa ya masomo kwa wanafunzi ni vema wadau mbalimbali pia mkajitokeza na kufanya mambo mazuri kama haya

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Ngosi Mwihava akifungua mafunzo kwa watendaji kutoka taasisi za utafiti wa vyakula na magonjwa ya binadamu kuhusu athari zinazoweza kujitokeza kutokana na bioteknolojia ya kisasa. Mafunzo hayo yanafanyika katika Hoteli ya Giraffe Ocean View, jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment