Help Children
Love them
Saidia Watoto

Tuesday, December 11, 2012

Mama Ana Bayi atoa somo kwa wacheza netiboli, asifia ushindi

 Viongozi wa Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA) wakiwapungia mkono washabiki wa mchezo huo waliofika kuwapokea uwanjani
Hapa wachezaji wakiwa wanatoka uwanja wa ndege

Wakiwa katika picha ya pamoja

Wakapata nafasi wachezaji kukaa chini katika hoteli ya Brue Pearl kupata chai ya asubuhi pamoja

Ndipo mama Ana Bayi akaanza kushusha somo la uwajibikaji na uzalendo kwa wachezaji hao

Somo likiendelea
Habari Kamili.

Mwenyekiti wa Chaneta Ana Bayi amewataka wachezaji wa timu ya mchezo wa netiboli kutokata tamaa licha ya matataizo wanayokumbana nayo.

Alisema hayo juzi mara baada ya kuwaandalia chai ya asubuhi wachezaji hao ambao walifanikiwa kuliwakilisha vema taifa  katika michunao ya kimatafa yaliyofanyika juzi nchini Singapore.

Wakiwa nchini humo wachezaji hao walifanikiwa kutwaa ubingwa wakiwa wanongoza kwa poini 10

0 comments:

Post a Comment