Help Children
Love them
Saidia Watoto

Friday, December 14, 2012

Koffie atoa somo la uendeshaji gari bila kulewa

Mwanamuziki wa kimataifa Koffie Olomide akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group Joseph Kusaga mara baada ya kumaliza kikao na waandishi wa habari pembeni ni Asha Baraka




Wafanyakazi wa Serengeti walikuwepo kumsikiliza Koffie






Habari Kamili
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Congo Koffie Olomide amewataka wadau mbalimbali wa muziki na wengineo kuhakikisha kuwa hawatumii vilevi na kuendesha magari kwa kuw ani hatari kwa maisha yao.

Kofiie alisema hayo jana baada ya kusaini bana maalum ya sernegti breweries inayopinga uendeshaji wa gari huku mwendeshaji akiwa amelewa

0 comments:

Post a Comment