| Akiwa na mkewe Sindy aliudhihirishia uma kuwa muziki ni kazi na unatakiwa kusomewa |
| Chekshia madansa wake walivyokuwa wadada wa ukweli na walionesha kuwa wamefundishwa muziki na umewanogea |
| Kutoka kuwa dansa wake hadi kuwa mkewe |
| Mdau Joseph Kusaga akiwapungia mkono |
| Sasa Koffie alicheza na hawa wadada washiriki wa shindanoa la Miss East Afrika |







0 comments:
Post a Comment