Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, December 5, 2012

Elimu ya kuepuka ajali ya treni

Askari wa usalama wa treni akitoa maelezo kwa wananchi na watoto waishio katika eneo la Ubungo maziwa ambapo wananchi wamepewa elimu kuhusiana na namna ya kuepkuka ajali za treni kwa kukaa mbali na reli

0 comments:

Post a Comment