Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, November 28, 2012

Bendi ya muziki wa dansi kutoka nchini Scotland, Big Jess yawakuna wanafunzi Dar

British Airways' Commercial Manager Tanzania, Saada Juma akiwapatia soda wanafunzi hao siku hiyo

Huyu dada hakuwa nyuma kusakata muziki na mwanafunzi huyu

Wafanyakazi wakiwa wanaburudika na wanafunzi baada muziki kukolea

Ikafika muda wa kucheza mmoja mmoja

Mwanafunzi huyu aliwakilisha na mzungu wake huyu

Umati mkubwa wa wanafunzi ulihudhuria hafla hiyo

Commercial Manager wa British Airways Tanzania Saada Juma alijikuta akishindwa kujizuia na kucheza sana na mwanafunzi huyu
Walipata fursa ya kupiga picha na wanafunzi

Mwanadada huyu aliwachengua vya kutosha wanafunzi hao

Nao hawakuwa nyuma katika kucheza pamoja na wazungu hao

 Bendi ya muziki wa dansi kutoka nchini Scotland, Big Jess ikiwaburudisha wanafunzi wa shule ya viziwi Buguruni wakati ilipofanya ziara ya kutoa misaada na burudani shuleni hapo (Picha na Evance Ng’ingo)



0 comments:

Post a Comment