Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, November 25, 2012

Yani shule ya Michael Mausa we acha tu!!! wanafunzi wawashangaza wazazi wa vipaji vyao

Wahitimu wenyewe wakiwa wanatoa burudani

Wanafunzi wa madarasa ya juu wakiwaangalia wenzao

Wanafunzi waliohitimu mafunzo ya awali wakitoa burudani safi

Mkurugenzi wa shule akitoa nasaha zao

Mwanafunzi akisoma risala zake

Burudani safi ikiendelea

Pia kulikuwa na maigizo yenye ujumbe.
Wanafunzi wa shule nzuri na ya kisasa ya Michael Mausa juzi walimaliza masomo yao ya awali ambapo walipata nafasi ya kuonesha vipaji vyao na pia kuwapatia fursa wazazi na walimu kukutana.

Shule hiyo ambayo kwa sasa ipo darasa la sita imeweza kufanikisha wanafunzi waliofanya mitihani mbalimbali kufanya vema mitihani yao hiyo na kushika nafasi za juu.

Ni shule nzuri ya kisasa iliyopo Tabata Kinyerezi na kwa mawasiliano zaidi piga  0713 276402

3 comments:

  1. A alaykum
    Nataka kufahamu vipi hi hii shule kunako malezi ya kiroho watoto wanapatiwa ikiwemo na mafunzo maalum ya kidini kwa pande zote mbili
    Muslim &cristian

    ReplyDelete