Help Children
Love them
Saidia Watoto

Thursday, November 8, 2012

siku za somo la mzee wa Hennessy zinakaribia



Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya ujio wa Balozi wa kampuni ya Hennessy, bwana Cyrille Auriol,
maandalizi ya mapokezi yake yamepamba moto.

Balozi Auriol atatua Dar es Salaam jumatatu akitokea Paris kwa ziara ya siku tatu kabla ya kuelekea Nairobi kwa muendelezo wa ziara yake nchi za Afrika Mashariki.

Akiwa Dar es Salaam  Balozi Auriol atahudhuria matukio mbalimbalimaalum ya chakula cha jioni na uonjaji wa kinywaji hicho ambazo zimeandaliwa ili kuwazawadia watumiaji wa kinywaji hicho nchini ambao
sasa wanafurahia kampeni ya kinywaji hicho iitwayo ‘ Flaunt Your
Taste’.

0 comments:

Post a Comment