| Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanafuatilia mjadala huo wa Global Entrepreneurship Week uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shirika la kazi duniani (ILO) |
| Vijana kutoka asasi mbalimbali za vijana walipata nafasi ya kupiga picha na uongozi baada ya kumaliza section ya kwanza ya elimu |
| Ofisa Mtendaji Mkuu wa East Afrika Speaker Bureau, Paul Mashauri akitoa somo la ujasiriamali kwa vijana ambapo alisisitiza juu ya suala la kujiamini katika kujiingiza kwenye ujasiliamali |
| Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Professional Approach kwa upande wa Professioanal Approach Development (PAD) Lilian Madeje akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa ILO Alexio Musindo |







0 comments:
Post a Comment