Help Children
Love them
Saidia Watoto

Sunday, November 18, 2012

Maandamano ya kuchangia ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike yalifana sana

Waziri Mary Nagu akitembea katika matembezi hayo ya kuhamasisha ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike katika mikoa nane

Syivia Lupembe akiwakaribisha waandamanaji waliokuwa wakiwasili katika viwanja vya vyuo vikuu

Waziri Nagu akihutubia ambapo hotuba yake ilihamasisha uchangiaji wa watu kuchangia hadi shilingi milioni 40 za ahadi

Mwanamuziki ambae pia ni balozi wa elimu kupitia mkakati huo wa kuchangia ujenzi wa hosteli, Barnaba akitumbuiza siku hiyo

Wadau wa elimu wa (AIESEC) tawi la Chuo Kikuu Cha Dar es salaam ambayo ni  The International Platform
for young people to explore and develop their potential nao walikuwapo kushuhudia tukio hilo ambapo walichangia pia
Mmoja kati ya mabalozi wa elimu Faraja Kota akicheza muziki na wanafunzi wa Baobab ambapo pia yeye na mumewe walichangia  ujenzi wa mabweni kwa kutoa milioni 10

0 comments:

Post a Comment