Help Children
Love them
Saidia Watoto

Wednesday, November 7, 2012

Pata picha za matukio mbalimbali ya elimu kwa shule za serikali

Wanafunzi wa darasa la sita Zanaki wakiandika kazi za somo la Historia kutoka ubaoni
Mwalimu Marthama Lunyirija wa Kisutu akielekeza jambo kwa wanafunzi wa darasa la nne katika somo la UraiaMargarita Kijapi wa darasa la tatu wa shule ya msingi Kisutu, Dar es Salaam,  akizidisha hesabu ubaoni huku wanafunzi wenzake (hawapo pichani) wakifuatilia. <!--[if gte mso 9]>

0 comments:

Post a Comment