| Mwanafunzi wa Jangwani akichukua cheti chake |
| Kijana wa Kibasila akichukua cheti chake |
| Kijana kutoka Azania sekondari akichukua cheti chake |
| Mwanafuzni wa Azania |
| Temu akimpongeza mwanafunzi wake |
| Huyu ni mwanafunzi wa Shaban Robert akipongezwa baada ya kunyakua cheti chake |
| Mwanadada kutoka Shaban Robert akichukua cheti chake |
| Hapa ni mwanafunzi wa Jangwani Secondary akichukua cheti chake |
| Amani Temu mratibu wa mafunzo hayo akizungumza na wanafunzi waliohudhuria mafunzo hayo |
| Pia kulikuwa na muda wa kujadiliana masuala mbalimbali ya IT |
| Mwanafunzi wa Shaban Robert akipongezwa baada ya kuchukua cheti chake |
| Mwanafunzi wa Shaban Robert |







0 comments:
Post a Comment