Help Children
Love them
Saidia Watoto

Thursday, November 1, 2012

Balozi wa Hennessy kuja kutoa somo Dar hivi karibuni


Balozi wa kinywaji cha Hennessy Bwana Cyrille
Gautier Auriol  anatarajiwa kuwasili nchini Novemba 13 na 14 mwaka huu ambapo atapata nafasi ya kutoa mafunzo mbalimbali kuhusiana na masuala ya kinywaji hicho na mengineo.

Bwana Auriol anakuja Dar es Salaam kwa matukio kadhaa ya kukutana na
wapenzi wa kinywaji cha Hennessy, lakini pia ataongoza uonjaji wa
kinywaji hicho, chakula cha usiku na ufunguzi wa club mpya ya Hennessy
327.

0 comments:

Post a Comment