Help Children
Love them
Saidia Watoto

Friday, November 9, 2012

Kampuni ya Ambitious IT Limited yafanikisha elimu ya ICT kwa wanafunzi wa sekondari mbalimbali Dar es salaam

Washiriki wa semina hiyo kutoka shule mbalimbali za sekondari wakiandika maelekezo kutoka kwa washiriki wa semina hiyo

Mfundishaji wa semina kiyo Bwana Ceasor Mwansasu  akitoa mada zake kwa wanafunzi kuhusiana na masuala ya teknolojia ya mawasiliano ambapo wanafunzi washiriki wa semina hiyo walipewa elimu kuhusiana na masuala mbalimbali yahuyo IT

Wanafunzi wakifuatilia kwa makini semina hiyo ambapo anaonekana mtoa mada akiendelea kushusha nondo kwa wanafunzi hao

Hawa ni baadhi ya wadau wa elimu walioshiriki kufanikisha utoaji wa limu hiyo kwa wanafunzi hao


0 comments:

Post a Comment